Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,752
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
 
Umemjaribu msouth sudan
 
Vumilia, akikuoa atatulia tu:thumbdown
 
Uamuzi ni wa kwako, but mind you, unaweza kupata MBONGO pasua kichwa afadhali hata ya huyo Mkenya!
 
Mpendwa wewe keli habai ya hapa!! Unauliza suali na unajibu hapohapo.... Ofcoz unategemea nini? zaidi ya kero maradufu!! gharama yake kubwa.
 
amani ya roho yako iamue ndani yako....inaonesha hauna amani naye. why even think of kuendelea mfike mbali? weakness unazoziona sasa kwenye ndoa zikuwa x1000. are you ready kwa hilo kama sasa unaona ni kero, unafikiri utaweza kumvumilia ktk ndoa?
 
Mjaribu na Muhindi naye akupikie "Bilibili" na kukuchezea "kochikuchi hotae"
 
Mkuu kweli du! itanigharimu sana
Lakini shosti wangu usivunjike moyo, kwa sbb unampenda, au hauna choice , au hutaki kumpotezea itakubidi umpige msasa na umbadilishe 50% na baadaye umnyoshe 30% hapo mtakaPOZOEANA TABIA una malizia kushare 20%....
Bravo kumjuza mambo yake mapema, Naye asifiche kero lako!! akuambie...kwani hakuna mwanadamu asiyekuwa na upungufu. Good luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom