Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

Salaam wana jf,

Amma baada ya salam naomba kuwasilisha maoni ya waliowengi kama ifuatavyo.

CCM imefanikiwa kutuongoza kuanzia Chama na serekali mpaka vyama vingi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 sasa tulio wengi tume enjoy amani,utulivu na mshikamano.

Tumepita kwenye changamoto mbalimbali na nyingi tulizishinda mpaka sasa nchi yetu imekuwa mfano wa kuigwa dunia nzima, usiposhuru dogo hata kubwa huwezi kushukuru.

Lakini sio wananchi pekeyake hadi wanyama tunaowafuga na kwenye hifadhi zetu wote wame enjoy hali tulivu kiasi cha marais wa marekani kufikia hatua na kusema amma hakika NGORONGORO ni pepo ya wanyama.

Lakini waswahili wanasema 'SHUBIRI HUONJWA' kuna kundi la wanasiasa linajiita UKAWA nasema wanajiita kwasababu hakuna katiba ya UKAWA wala USAJILI wala OFISI isipokuwa tunajua kwamba wanatoka kwenye vyama vikuu vya upinzani.

Lakini ikiwa kushika nafasi yapili kwenye uchaguzi mkuu tayari watu wengine wanamili nyumba3,kasri dubai,bilions uswizi,wengine wameitwa wasaliti na wengi kupigwa matofali.

Nafikiri umeyaandika haya kwa kuwa haujawahi kukutwa na janga lolote lililosababishwa na utawala huu dhalimu, ebu tafakati kwa makini na soma haya matukio hapa chini ambayo hadi sasa hakuna hatua zozote zinazofanyika kuwatafuta wahusika huku damu za hawa watanzania zikiwa zimemwagika na wewe kuandika ujinga eti nchi ya amani na utulivu
1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMA kule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabunge wa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengo la Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMA pale Soweto
11. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijana waliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
12. Waliomuua Padri kule Zanzibar
13. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wa UK
14. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ile Sembe Kule South Africa
15. waliomshambulia hadi kusababisha kifo chake Dr. mvungi.
16. Waliosababisha vifo kutokana na kuanguka kwa lile ghorofa pale Dar es salam
17. waliomshambulia Mh. nassary hadi kusababisha kulazwa kwa siku kadhaa Hospitali ya Taifa Muhimbili
 
Salaam wana jf,

Amma baada ya salam naomba kuwasilisha maoni ya waliowengi kama ifuatavyo.

CCM imefanikiwa kutuongoza kuanzia Chama na serekali mpaka vyama vingi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 sasa tulio wengi tume enjoy amani,utulivu na mshikamano.

Tumepita kwenye changamoto mbalimbali na nyingi tulizishinda mpaka sasa nchi yetu imekuwa mfano wa kuigwa dunia nzima, usiposhuru dogo hata kubwa huwezi kushukuru.

Lakini sio wananchi pekeyake hadi wanyama tunaowafuga na kwenye hifadhi zetu wote wame enjoy hali tulivu kiasi cha marais wa marekani kufikia hatua na kusema amma hakika NGORONGORO ni pepo ya wanyama.

Lakini waswahili wanasema 'SHUBIRI HUONJWA' kuna kundi la wanasiasa linajiita UKAWA nasema wanajiita kwasababu hakuna katiba ya UKAWA wala USAJILI wala OFISI isipokuwa tunajua kwamba wanatoka kwenye vyama vikuu vya upinzani.

Lakini ikiwa kushika nafasi yapili kwenye uchaguzi mkuu tayari watu wengine wanamili nyumba3,kasri dubai,bilions uswizi,wengine wameitwa wasaliti na wengi kupigwa matofali.

Acha u.f.a.r.a
 
Pumbaafu! amani na utulivu tulivileta wewe na mimi na sio CCM. What is CCM? Ni chama cha matajiri, ni chama cha kurithishana madaraka, ni chama kinachowasurubu wanyonge na kuwakweza wenye sauti na mali, ndicho chama kilichosheheni mafisadi walarushwa na wenye uchu wa madaraka, tena ni chama kilicholeta vita kati ya vijana na ajira, ni chama kilicholeta vita kati ya wasomi na viongozi, ni chama kilicholeta gepu kubwa kati ya walionacho na wasionacho, pia ni chama kilichosahau kilikotoka, kilichogomea maoni ya wanainchi wote na kuwapuuza, ndicho kilichoibadili siasa bora kuwa mambo ya uongo, kimejaa ahadi za uongo, ni chama kinachotumia fedha nyingi katika usimamizi wa miradi kuliko gharama za miradi yenyewe. Kwa ufupi naifahamu CCM kuliko unavyodhani. NAOMBA WATANZANIA WASIDANGANYIKE TENA!
 
Pumbaafu! amani na utulivu tulivileta wewe na mimi na sio CCM. What is CCM? Ni chama cha matajiri, ni chama cha kurithishana madaraka, ni chama kinachowasurubu wanyonge na kuwakweza wenye sauti na mali, ndicho chama kilichosheheni mafisadi walarushwa na wenye uchu wa madaraka, tena ni chama kilicholeta vita kati ya vijana na ajira, ni chama kilicholeta vita kati ya wasomi na viongozi, ni chama kilicholeta gepu kubwa kati ya walionacho na wasionacho, pia ni chama kilichosahau kilikotoka, kilichogomea maoni ya wanainchi wote na kuwapuuza, ndicho kilichoibadili siasa bora kuwa mambo ya uongo, kimejaa ahadi za uongo, . NAOMBA WATANZANIA WASIDANGANYIKE TENA!

Hii ndio tabu ya UPAWA.

Amani utulivu na mshikamano vinathamani kubwa kuliko hivyo ulivyovitaja kwasbb hivyo vyote vinanunulika ila amani haiuzwi dukani .

Bora ya zimwi litujualo.
 
kibogo
unanieleza kitugani mimi naongelea amani utulivu na mshikamano na kama utashindwa kuona umuhimu wake ni bora uwaulize wananchi wa LIBYA au S.SUDAN kati ya amani na utajiri wa umwagaji damu kipi ni bora?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtanazania anayeandika neno 'serekali' kama mleta mada ujue umri umeshampiga chenga.

Achanganye mawazo yake na KINGUNGE.

Na inaonyesha UPAWA mkichukua nchi mtanyonga wazee kwa akili kama yako .

Hivi nyie ni watu gani msiotaka kupingwa yaani kilakitu mnajua hamna heshima hata kwa wazee wetu.
 
Hujitambui siku akili zikikurudi utajitambua
Kuliko nijitambue kwa akili za kifala na za kufurahia upuuzi unaendelezwa na magamba ni bora nisijitambue maana sitokua na kesi ya kujibu siku ya hukumu kwa kufurahia watanzania wenzangu wakiteseka! unafiki unao uendekeza kwa ajili ya tumbo utakupeleka pabaya!
 
huo ujinga na umasiki hautoisha kwa akili za kushikiwa na mbowe.
ila utaisha kwa kuendelea kuongozwa na magamba ambao wao ndo chanzo cha hali hiyo kwa miaka hamsini!
heri malaya kuliko mnafiki tena wa kiume!
 
Sasa matusi ya nini? Jifunzeni ustaarabu nyie wafuasi wa UKAWA.
ndi naona mwandishi anajifunza hata kuandika nadhani ametoka msituni muda si mrefu vipi malipo yake kafikia elf7 kweli?
 
Huyu mleta mada lazima na yeye picha zake za ugoni zipo na katisha akileta ujinga wanaziweka hewani.Wewe soma the way alivyoandika tuu.
 
Salaam wana jf,

Amma baada ya salam naomba kuwasilisha maoni ya waliowengi kama ifuatavyo.

CCM imefanikiwa kutuongoza kuanzia Chama na serekali mpaka vyama vingi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 sasa tulio wengi tume enjoy amani,utulivu na mshikamano.

Tumepita kwenye changamoto mbalimbali na nyingi tulizishinda mpaka sasa nchi yetu imekuwa mfano wa kuigwa dunia nzima, usiposhuru dogo hata kubwa huwezi kushukuru.

Lakini sio wananchi pekeyake hadi wanyama tunaowafuga na kwenye hifadhi zetu wote wame enjoy hali tulivu kiasi cha marais wa marekani kufikia hatua na kusema amma hakika NGORONGORO ni pepo ya wanyama.

Lakini waswahili wanasema 'SHUBIRI HUONJWA' kuna kundi la wanasiasa linajiita UKAWA nasema wanajiita kwasababu hakuna katiba ya UKAWA wala USAJILI wala OFISI isipokuwa tunajua kwamba wanatoka kwenye vyama vikuu vya upinzani.

Lakini ikiwa kushika nafasi yapili kwenye uchaguzi mkuu tayari watu wengine wanamili nyumba3,kasri dubai,bilions uswizi,wengine wameitwa wasaliti na wengi kupigwa matofali.
tuna ushahidi wa picha za mnato na hata video za namna ccm inavyotesa wananchi kubaka kuuwa na kufanya unyama ambao hauzungumziki tukiweka humu utashindwa useme nini
 
Back
Top Bottom