tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
- Thread starter
- #101
Hoja yanju imesimamia hapo, kama kuna utulivu na amani kama unavyojitanabaisha hayo matukio niliyoyaorodhesha yangetokea? na je serikali ya CCM imechukua hatua gani juu ya hayo matukio ili kuyazuia yasiweze kutokea tena?
mimi naomba uniletee kamusi yoyo au tafri yoyote kutoka katika lugha yoyote duniani na nje ya dunia inayoonyesha amani ni maisha bora.
Kuhusu hayo matukio nimeshakueleza kwamba yanauzwa na yananunuliwa lakini amani ni kitu kingine kabisa.
Hapohapo ulipo unaweza ukaamua kujitoa ufahamu au ukachochewa ukabadilika na ukajisikia hauna amani kwasababu zilizo nje ya sababu naomba unielewe ndugu.
Nimekutajia S.Sudan kwasabb mpaka sasa kuna maiti zaidi 2000 zimekosa mzikaji.
Nenda Libya nchi iliokuwa na maisha bora kwa wananchi wake Africa.leo hii hata kama watamaliza Trilions of Dola hakuna mahala watakapoinunua AMANI,UTULIVU au MSHIKAMANO