Unaongea kitu gani aise?? hujui wala huoni tofauti ya Ukawa na CCM, ccm ni chama cha kisiasa - ukawa sio chama cha kisiasa!! Kuhusu kumiliki mali, nani kasema kumiliki mali ni haramu? Ni haramu endapo mali zako ni dispensary za watanzania umeziiba na kujijengea mali, ni haramu endapo umeiba pesa za barabara na kujenga maukumbi ya hrusi dsm nzima, ni haramu endapo ueuza twiga na simba wakiwa hai ukatajirika, ni haramu endapo umeingia mikataba haramu ya migodi kwa manufaa yako na kuacha wananchi waliokuwa wamiliki halali wa ardhi wakifa kwa mercury na sumu na mabunduki wanayopigwa na wawekezaji. etc. Otherwise, uharamu huo unaousema kwamba miaka mitatu watu wanamiliki hotel ulaya [nafikiri hapa unamsema ndesamburo, hiyo hotel alikua nayo tu kabla hata ya kujiunga chadema!!!] Yaani ni sawa na Bakhresa ajiunge cafu sasa hivi na wewe uanze kuzungumzioa mali za bakhresa kwa sababu ameingi cuf. Fikiria kwanza kabla hujasema kitu.
Hakuna kitu ulichozungumza, hujahoji, hujauliza wala hujazumgumza!!!!!!! Ni kama umepiga chafya tu.