Misonge Jr
Member
- Apr 20, 2014
- 21
- 7
Kiukweli wa Tz tusaidiwe kuamka na kutoka utumwani.
Kuna usemi usemao aisifuye mvua imemnyea endeleenoi kuishukuru serikali ya kindugu
Wewe unayesema umetendewa mazuri mengi na hao Jamaa una interest zako humo. Nasema hivi nina evidence ya mmoja wa watu wangu wa karibu aamua kuwa kada kwa sababu analipwa kwa hilo.
Mi naona bora kinuke tu kusikalike tukose wote haiwezekan watu wakeshe kusoma wakose kazi Halafu wengine wanashinda Club hawaujui hata umande wa Asubuh wakaongoze nchi. Nandio maana kila siku tuna mipango mkakati isiyotekelezeka kwa sababu wanaotuongoza mungu anajua.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums