Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

Salaam wana jf,

Amma baada ya salam naomba kuwasilisha maoni ya waliowengi kama ifuatavyo.

CCM imefanikiwa kutuongoza kuanzia Chama na serekali mpaka vyama vingi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 sasa tulio wengi tume enjoy amani,utulivu na mshikamano.

Tumepita kwenye changamoto mbalimbali na nyingi tulizishinda mpaka sasa nchi yetu imekuwa mfano wa kuigwa dunia nzima, usiposhuru dogo hata kubwa huwezi kushukuru.

Lakini sio wananchi pekeyake hadi wanyama tunaowafuga na kwenye hifadhi zetu wote wame enjoy hali tulivu kiasi cha marais wa marekani kufikia hatua na kusema amma hakika NGORONGORO ni pepo ya wanyama.

Lakini waswahili wanasema 'SHUBIRI HUONJWA' kuna kundi la wanasiasa linajiita UKAWA nasema wanajiita kwasababu hakuna katiba ya UKAWA wala USAJILI wala OFISI isipokuwa tunajua kwamba wanatoka kwenye vyama vikuu vya upinzani.

Lakini ikiwa kushika nafasi yapili kwenye uchaguzi mkuu tayari watu wengine wanamili nyumba3,kasri dubai,bilions uswizi,wengine wameitwa wasaliti na wengi kupigwa matofali.

UKIZOEA UMASIKINI NI RAHA SANA ! Haya amani ya WANYAMA IPI UNAYOISEMA , HII YA PEMBE KUKUTWA KWENYE MELI ZA VIONGOZI ?
 
Huyu mwenye huu uzi anaota nini
Mwagieni maji amke akakojoe asije kukojoa kitandani
Maana ndoto za mchana ni mbaya sana
 
Kumbe................Tanzania ni nchi ya kuigwa? walahi sikujua! kumbe upuuzi wetu, umaskini, ujinga, utumwa wa akili ni mifano ya kuigwa, na inaigwa na nchi gani?

Hujitambui siku akili zikikurudi utajitambua
 
Kumbe................Tanzania ni nchi ya kuigwa? walahi sikujua! kumbe upuuzi wetu, umaskini, ujinga, utumwa wa akili ni mifano ya kuigwa, na inaigwa na nchi gani?

huo ujinga na umasiki hautoisha kwa akili za kushikiwa na mbowe.
 
Ustaarabu ni upi? kupika majungu na kudanganya umma kwa hoja dhaifu, za kufikirika na ujinga? unaona mleta hoja

kafanya uungwana kwenye bandiko la kupotosha umma? Kupotosha na kudanya sio zaidi ya matusi???

kuposha umesha potoka ukapotolewa na yule Disco Joker na mzee wa magumash.
 
Na matusi nani aliekutukana jibu hoja siokulalamika.
 
Ushapewa pesa saa unatoa hoja ambazo hazina msingi taifa gani la amani wakati hapana elimu,umasikini,maandamano kila kukicha.

nani aliekwambia kwamba amani ni elimu na umasikini.

Hivi unataka nani akulishe au akuletee msosi. Kila mtu anaishi kwa kadiri ya majaala ya maulana sasa ukilalamikia ccm ni sawa na ujinga.
Tunazungumzia amani utulivu na mshikamano usituchanganye.
 
Mleta mada ni miongoni mwa wale waliotetea Wakoloni wabaki Tanganyika mwaka 1961 hivyo tusimshangae.

na wewe inaonekana ni moja kati ya watu walio imbiwa wimbo wa ukombozi wa pili...eti ukombozi wapili ,labda nchi iuzwe jumla.
 
maramia tushabikie ubovu wa ccm kuliko upuuzi wa wapinzani haswa Cdm kiukweli kila mtu anapenda wapinzani washike nnchi lkn c hawa wabaguzi wanafiki magaidi na kutokukubali challenge wanao taka fikra za mwenyekiti kudumu...... wapuuzi wapizani hata mie nakusapoti japo si ccm

wenye akili najua mmenielewa
 
Hata mie najiuliza sipati jibu. Mfano wa kufikirika; slaa rais alafu baraza lake unawakuta watu kama akina mbowe,sugu,lema,msigwa,bepari ndesa na wachaga kwa kwenye taasisi za kiusalama na kifedha ndani ya miaka 5 nchi itafananaje?
Ni matarajio yangu nchi kutangazwa imefilisika.

wenye akili mmenielewa
 
Duh, Tofyo, ukiwa hauna cha kupost changia post za wengine!

ntachangia tu kama wataandika mambo kama haya.lakini kwa sbb hawaandiki acha ninyeshe.
 
maramia tushabikie ubovu wa ccm kuliko upuuzi wa wapinzani haswa Cdm kiukweli kila mtu anapenda wapinzani washike nnchi lkn c hawa wabaguzi wanafiki magaidi na kutokukubali challenge wanao taka fikra za mwenyekiti kudumu...... wapuuzi wapizani hata mie nakusapoti japo si ccm

wenye akili mmenisoma
 
Back
Top Bottom