vicdala55
kwasababu umekuja kama mtu mwenyeakili timamu naomba nikujibu point zako sita kama ifuatavyo.
1.kusudio la kuandika ni kuonyesha wasiwasi wangu juu ya hiki kikundi cha ukawa kama kweli ni watu watakaoweza kumeintain amani utulivu na mshikamano.
2.UKAWA kirefu chake ni umoja wa katiba ya wananchi sasa kwani umeambiwa ccm wanaunda katiba ya nani?
3.point ya usajili au katiba mimi hio point niliiweka ili kuondoa maswali ya kwamba wanajiita.
Mimi nawaona ni wahuni fulani kwasababu issue ilikuwa ni katiba sasa wamewaweka nyuma yao makundi au taasisi zingine na kutengeneza maslahi ya kisiasa kwa kumuanda mgombea mmoja.
Sasa je yale makundi mengine yatafaidikaje wakati kile kilichowapeleka kwenye bunge maalum kimegeuzwa.
4.nyumba3 kasri dubai bilioni uswiz ni hoja ambazo hazijibiki.
5.suala la amani ni la CCM peke yake kwasbb kama amani isingekuwepo bado tungewalaumu CCM kwavile ndie aliepewa dhamana ya kuziongozo ROHO na VIWILIWILI Milioni 45 vya binaadam.
6. Last,kuhusu kuigwa nenda Angola,Congo,Namibia,msumbii