No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
Asili yake wapi bwashee ? Huyo tatizo lake ni kuwa wadada wanamnyimaPoor social development kumbe ndio sababu, unahitaji serious counselling toka kwa psychologist au psychiatrist anayejua kazi yake sio hawa wa kudesa
Kwishaaa yeyeeeeWewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Kajinga sana anatuona matako yake🚮Kwishaaa yeyeeee
Hahahaha eti okoa kibunda.Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life. Nnacho mshukuru mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria,kiuwezo np vzr.Ila mahusiano no sitaki kuwazwaz Na mwanamke hana faida yeyot,kama nikupika napika ten msosi mtamu,hata n kama n watoto siwatak maan hawana msaad wowote kwang,kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda
Sio tatizo ni uamuzi tu,Hili ni tatizo japo inawezekana hulioni.. Lilianzia ulaya likaingia bara hindi kwa kasi sasa naona limeshawasha indicator Africa!
Imagine wazazi wetu wangekuwa na mitazamo kama hii!
Matako yake kijanaKajinga sana anatuona matako yake🚮
Asili yake wapi bwashee ? Huyo tatizo lake ni kuwa wadada wanamnyima
Hawa ndio wale hufia chumbani pekeyao
Kaka nnamirad itakayo nsimamia
Kaka nnamirad itakayo nsimamia
Bwashee naona humuelew mtoa mada 😂
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.
hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Wapo wa kuwatetea ila watu wanakujudge kutokana na nyuzi zako zilizopita zinaonesha una tatizoKumbe masingo hum hawana watetez
Hizi DNA za kichoyo zinatakiwa zisiwepo kwa wingi duniani maana zitapelekea binadamu kutoweka ulimwenguni.Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.