Bora Kikwete hakwenda uwanjani tungelia

Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya ghafla kwenda kutalii nje ya nchi, akiendelea kutohudhulia atakuwa analinusuru taifa na aibu ya mwenda wazimu.

Mkuu sijakusoma unamaanisha nini...
 
The Kilimanjaro stars 1 Ivory Coast 0 hongera nafikiri hii ni baada ya miaka 16 bila kuwa na kombe la Challenge.

Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya ghafla kwenda kutalii nje ya nchi, akiendelea kutohudhulia atakuwa analinusuru taifa na aibu ya mwenda wazimu.

Hii ni zaidi ya amazing!!!!!!!!!!!!!!!! Karne ya sayansi na teknolojia bado tuna mawazo ya kishirikina katika soka!!!!!!!!! Ndo maana hatufiki mbali!!!
Unastahili kuwa mtoa pumba!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom