Boooom udsm continuing student

MTUNZA AMANI

Senior Member
Jun 2, 2012
187
21
Wanabodi mwenye taarifa kamili kuhusu boom udsm,maana chuo kimefungua lakini account hazijacheu,je tatizo ni nini? Maana hamna taarifa yoyote,je tutaishije maana hizo ndo pesa za kula. Naombeni mwenye taarifa atujuze au DARUSO najua huwa mnapita humu jamvin tujuzeni basi.
 
Wengine mbona tayari? Angalia GPA yako kama inacheza kiduku(below 2) and u sat 4sapp exams
 
Back
Top Bottom