Boom, boom, boom!

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Salaam GT! Kwa wanavyuo hususan Udsm mlioripot leo vyuoni nipeni updates za boom pande za huko zinaendaje?
 
Mapaka lini? Mbona tangia usimamizi wa boom uwe mavyuoni tabu nazo zimezidi kuongezeka? Watu 2lidhan ni hauweni boom kuhifadhiwa ktk adminstration block bt kumbe hakuna uhafadhali,, Vp kadai tuvute subira hadi lini huyo mgaya?
 
Hajasema boom litaingia lini exactly but mchakato unaendelea.

poa nimekusoma mkweli, ila ajue hizi subira zina mwisho wake! Na kuna tetec kuwa wamechukua pesa za boom kwenda kuwalipa madaktari ili kupoza mgomo wao sasa kama wanataka hapo chuo pachimbike....., itafahamika!
 
wasitoe timetable bla kuingiza pesa ya food &accomodation.hakuna maisha dar bila hela.

hawa watu ni matapeli sana nimesikia zero draft zishaanza kutolewa wakat suala la boom halisomeki, kwa style hii maandamano hayataisha vyuoni.
 
Na WANAHARAKATI mliwatenga wakiwa wanadai maslai muhimu ngoja muone mapacha watatu watakavyo wabuluza mwaka huu
 
Andamaneni wakuu, sisi maboya wa SAUT ndo kwanza tumeuchuna licha ya wiki 3 kupita tangu tumefungua chuo bila boom wala harufu yake. Nyie ndo mko jirani na Ikulu, andamaneni, sisi tulio wachache huku tutawasapoti!
 
Back
Top Bottom