Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kwa ufupi, kusoma kitabu kwa namna yeyote ile haikuachi kama ulivyokua awali. Hua sijutii au kuihurumia pesa nnayoitumia kununua kitabu.
Hapa umenikumbusha vitu viwili muhimu sana katika usomaji wa vitabu na faida zake na hasara zake na kujutia kusoma kitabu fulani, moja inanihusu mimi, nyingine inamuhusu msomi mkubwa kama ushahidi.

Mimi kuna vitabu nilinunua miaka kadhaa, hapa nilipo nina mpango wa kuvichoma MOTO kabisa. Kuna vitabu mtu unaweza kusoma na ukajutia kwanini umesoma kitabu kile au kwanini umenunua, hilo mara nyingi hutanguliwa na ujinga na kutokujua. Unaweza kusoma kitabu kisikunufaishe zaidi ya kukupotezea muda na kukujaza ujinga, hapa lazima uwe na MIZANI.

msomi mmoja aliwahi kuandika kitabu kuhusu nasaba za watu, kabla ya kukichapa na kukisambaza, sababu alikuwa hajaitakasa nia yake juu ya kile kitabu, na aliandila kuonyesha watu ufundi wake na umahiri wake katika elimu ya nasaba, basi aliliteketeza na leo hii kimebaki jina.

Ahsante....
 
Hapa umenikumbusha vitu viwili muhimu sana katika usomaji wa vitabu na faida zake na hasara zake na kujutia kusoma kitabu fulani, moja inanihusu mimi, nyingine inamuhusu msomi mkubwa kama ushahidi.

Mimi kuna vitabu nilinunua miaka kadhaa, hapa nilipo nina mpango wa kuvichoma MOTO kabisa. Kuna vitabu mtu unaweza kusoma na ukajutia kwanini umesoma kitabu kile au kwanini umenunua, hilo mara nyingi hutanguliwa na ujinga na kutokujua. Unaweza kusoma kitabu kisikunufaishe zaidi ya kulupotezea muda na kukujaza ujinga, hapa lazima uwe na MIZANI.

msomi mmoja aliwahi kuandika kitabu kuhusu nasaba za watu, kabla ya kukichapa na kukisambaza, sababu alikuwa hajaitakasa nia yake juu ya kile kitabu, na aliandila kuonyesha watu ufundi wake na umahiri wake katika elimu ya nasaba, basi aliliteketeza na leo hii kimebaki jina.

Ahsante....

Usivichome moto mkuu. Kuna wakati ni vizuri kuwa na mitazamo tofauti tofauti ya mambo, inakuimarisha na kuongeza uwezo wako kukabiliana na changamoto tofauti tofauti za maisha. Zenyewe zinakuja kama zilivyo, haziangalii uwezo wako au historia yako ikoje.
Niliwahi kusoma mahali vitu viwili vinavyobadili watu ni vitabu unavyosoma na watu unaokutana nao.

Lakini pia msisitizo hapo kwenye kuweka mlingano wa aina ya vitabu tahadhari inahitajika. Imani yangu ni kuwa, kupotoshwa kirahisi inategemea na msingi ulionao ambao nao pia unajengwa kwa mambo mbalimbali ikiwepo kusoma vitabu.

Bila shaka unachukua tahadhari dhidi ya Corona mkuu.
 
1: Bible,
2: Before you do,
3: 48 laws of power,
4: Long Walk To Freedom,
5: Dreams From My Father.
6 ...........
By the way nimesoma alots of books kwenye kila nyanja biashara,siasa,dini the reason ni kuwa na uelewa wa mambo yote yanayofocus kwenye jamii na maisha ya kila siku vitabu nilivyosoma vinafika 200 na zaidi.
kama. una soft copy zake tusaidie na sisi tupate maarifa
 
Back
Top Bottom