Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi unaendelea?! Banjo katekwa na kuuawa eneo lenye vifaa saidizi na kuzungukwa na ulinzi pale Arusha chunguzi unaendelea?!
Humphrey Polepole tunasikia baadhi ya Maafisa walirudi kuvunja gari lake na kuondoka na nyaraka... uchunguzi unaendelea.
Namna pekee na sahihi ya kupata majawabu kuhusu utendaji wa polisi na vitendo vya utekaji ni kulichunguza Jeshi la Polisi.
Uchunguzi huru, Jumuishi na wa kimataifa utategua kitendawili cha mtekaji na muwezeshaji wa utekaji.
HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKIJA UTALIPONYA TAIFA....siyo maombi ya kidini ya kisanii wala maridhiano ya jumla jumla na ya hadaa .
Zamu hii hatutakubali tena kupelekwa machinjoni kama kondoo wa kafara.
BAK MWABUKUSI.