Bongo tuna kuzika mapemaaa

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
Chombo hicho
FB_IMG_1587549312284.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha inatakiwa kwenye hamsini unapita na 150 yaani Traffic akikukamata hadi afurahi. Last two months nilitoka Mkoani huko, nilikua na BMW X1, kwenye 50 nikapita na 140km/hr ghafla tochi! Jamaa anakuja kwanza akawa anafurahi kuwa speed ilikua tamu! Sio unakamatwa eti umezidisha speed tano, umekatwa na 55.
 

Attachments

  • IMG_20200212_160409_657.jpg
    IMG_20200212_160409_657.jpg
    299.6 KB · Views: 2
Naona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekan, gia tano ndo mwisho wa njia ya gia amna njia ya kutoka tano mpaka riverse labda urudi mpaka moja ndo utaipata njia ya reverse. Ingekuwepo ivo tungekufa wengi sana nahis utapaa kbsa na kufia angani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom