Bongo tuna kuzika mapemaaa

Bongo tuna kuzika mapemaaa

Hahahaha inatakiwa kwenye hamsini unapita na 150 yaani Traffic akikukamata hadi afurahi. Last two months nilitoka Mkoani huko, nilikua na BMW X1, kwenye 50 nikapita na 140km/hr ghafla tochi! Jamaa anakuja kwanza akawa anafurahi kuwa speed ilikua tamu! Sio unakamatwa eti umezidisha speed tano, umekatwa na 55.
Hadi umate umenitoka
 

Attachments

  • IMG_20200212_112151_971.jpg
    IMG_20200212_112151_971.jpg
    288.1 KB · Views: 5
  • IMG_20200212_112155_116.jpg
    IMG_20200212_112155_116.jpg
    302.8 KB · Views: 5
Speed 400 sio mchezo,hapo logo nje nje kwa barabara zetu hizi ni hatari.
 
Back
Top Bottom