emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,252
Kwamba unakua nusu nusu mzeeAseee sio mchezo upana Mercedes na uzito kupindika Ni ngumu. So hiyoo speed unaweza ifuta ila nusu uko Duniani nusu uko ahera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba unakua nusu nusu mzeeAseee sio mchezo upana Mercedes na uzito kupindika Ni ngumu. So hiyoo speed unaweza ifuta ila nusu uko Duniani nusu uko ahera.
Hiyo ni limited edition mkuu. Kwa wenye nazo kama kina CR7Mkuu uliyetuma hiyo ndinga iko sokoni? wapi tuisakanye tuivute !
Mkuu habari za karantiniSpeed 400 ni ndege ikiwa inatafuta taiming ya kuruka Sasa ww uitumie kwenye gar si unanusa harufu ya sanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshawahi kuendesha Mercedes Benz manual. Reverse gear huwa haingii moja kwa moja km za mjapan. Lazima gear lever either uinyanjue juu au idumbukize chiniNaona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!
Sent using Jamii Forums mobile app
hpo ukizngua tu.unapasua pasua gear boxNaona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa upige picha kwanza ukiwa mbele ya chuma hicho kabla ya safari. Kama yule mwana wa mark X
Maana hii 260 naona Kama kinyonga tu
Huo mtambo mkuu,hiyo ikishachanganya ukae pembeni,hakuna cha Brevis,Crown wala nini hapo...
Dogo ilikuwa Toyota Crown na sio Toyota Mark X
Huo mtambo mkuu,hiyo ikishachanganya ukae pembeni,hakuna cha Brevis,Crown wala nini hapo...
Anae nunua hii gari, ameishatoka kwenye level ya kufikiria wese..Aah wapi hapana KABISA umeona ni cylinder ngapi hizo? Ni 12... Wese lake si mcheza hammer inasubiri
Jr[emoji769]
😀😀😀😀... hata wao nahisi watajishtukia kukujaribuwale wazee wa league road na alteza zao,usiwasikilize ukiwa na hii gari,wakikupita wapuuze tu maana,
kwanza ubaya hizi gari za bei mbaya,speed huioni ukiwa ndani,gari haichezi wala kuvuma kama simu ina vibrate.kwahiyo unaweza ona uko kawaida tu kuumbeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Model Hank hii?ya mwaka gani?
Naona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshawahi kuendesha Mercedes Benz manual. Reverse gear huwa haingii moja kwa moja km za mjapan. Lazima gear lever either uinyanjue juu au idumbukize chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha inatakiwa kweng hamsini unapita na 150 yaani Traffic akikumata hadi afurahi. Last two months nilitoka Mkoani huko, nilikua na BMW X1, kwenye 50 nikapita na 140km/hr ghafla tochi! Jamaa anakuja kwanza akawa anafurahi kuwa speed ilikua tamu! Sio unakamatwa eti umezidisha speed tano, umekatwa na 55.