Bongo tambarare, Popote weka kambi

Bongo tambarare, Popote weka kambi

Wale wazee wanaotafuta wari na kuoa je! Na wao sio watu wazima

Hapa ishu siyo umri bro, ishu ni namna gani hilo tendo limetendeka! Tendo hili kwa wanadamu limefanywa kuwa ni siri, sasa mtu una umri mkubwa unapolifanya tendo hilo chooni tena kwenye choo cha ofisi utasema unasumbuliwa na nyege za balehe unaona sahihi kabisa??

CC: The Boss
 
Last edited by a moderator:

Sio sahihi asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasapoti watu kumangana kila mahali kama mambuzi? Choo, tena choo cha ofisini siyo nyumbani ni kwa ajili ya kuhifadhi uchafu tu.

Halafu! Kwa nini udanganye watu kuwa upo kazini kumbe unamangana na wahuni vyooni? Inaudhi
mkuu kwani wahuni ndo hawastaili kumangaa
 
Back
Top Bottom