Huyu dada nilimpenda toka kwenye usahili..
Especially washiriki wa dar ndo wenye vituko wengi. Auditions wanajitokeza wengi sijui kuuza tu sura. Yani huwa nacheka sana khaaa
Aah auditions ndo huwa burudani zaidi. Unaweza kucheka hadi kupaliwa. Nahisi wengine wanafanyaga tu makusudi kwenda kuchekeshaHakuna kipengele kitamu jamani kama auditions, pale ndio penye uhondo woteee, unacheka hadi basi, hata tpf nilikuwaga napenda auditions zaidi.
Alafu nimekumbuka hivi project ya TPF ndio basi tena!??
Mi uwa wananichekesha sana..Na zaidi nikifikiria kuwa mtu kasimama kwenye foleni zaidi ya masaa 10 zen anaingia ndani anafanya vituko,hapo no nachoka zaidi..Kweli town kuna watu hawana kazi aiseeHata mimi huku daaah hadi sikumbukagi kama kuna jukwaa la hivi.
Oooh afadhali, hapo tu ndipo ninapokupendea.
Hata mimi napenda auditions zaidi, yaani nachekaga kama mwehu, najiuliza hivi watu wanaendaga wakiwa serious kabisaaa au ni kuchekesha tu wenzao.
Mie nilikuwa namkubali sana yule umy aliyeondoka last week, now nimebaki na Kayumba tu, ananikumbusha Walter Chilambo daah!
Hivi vipaji vya bss vinavyopatikanaga kwa gharama kwanini vinapotea tuuuuu kizembe zembe hivi!! Kipaji cha Walter hakikua cha kupotea kile
Yeah sure..Frida aliingia kigumu zaidi..Atleast siku hizi anabadilika kidogo...Angel ana mashauzi flani hivi ya kuvutia..Nimekapenda kwakweli..Ila kwa kuchana Frida yuko juu kwa AngelHahaha me tumetoka kugombana na my best friend eti hampendi frida mweee, nimemwambia tutapingua urafiki teh
Angel yupo vizuri, afu na ule ushape pale kati teh, ndo maana maza ananuna. Frida ni kama mgumu fulani hivi as wana hip hop walivyo ndo maana mbwembwe hakuna, while angel ana tumbwembwe fulani. Ila I wish them both the best luck. Angalau this year wana hip - hop wameleta changamoto zaidi kwenye bss
Eeh endelea tu kukapenda teh. Frida ni habari nyingine, Afu she is too simple na kanajiaminiYeah sure..Frida aliingia kigumu zaidi..Atleast siku hizi anabadilika kidogo...Angel ana mashauzi flani hivi ya kuvutia..Nimekapenda kwakweli..Ila kwa kuchana Frida yuko juu kwa Angel
Sure..Emmy pia nilikuwa namkubali...Hawa bss baada ya mashindno sidhani kama wanajishughulisha na mshindi..Ila wangekuwa wanajitolea kuwasimamie wangekuwa wanafika mbali sana...Coz Rita,Salama na Master wana connections nyingi sana kwenye soko la mziki bongo..Sema ndo hivyo baada ya mashindano nadhani wanawadamp tu...Mtu kama walter angekuwa na management nzuri angekuwa mbali sana nowMie nilikuwa namkubali sana yule umy aliyeondoka last week, now nimebaki na Kayumba tu, ananikumbusha Walter Chilambo daah!
Hivi vipaji vya bss vinavyopatikanaga kwa gharama kwanini vinapotea tuuuuu kizembe zembe hivi!! Kipaji cha Walter hakikua cha kupotea kile
Nina auditions kibao za mashindano ya dizaini hiyo..Uwa nikijisikia kucheka naziangalia tu...Tpf sijui nn tatizo aiseeHakuna kipengele kitamu jamani kama auditions, pale ndio penye uhondo woteee, unacheka hadi basi, hata tpf nilikuwaga napenda auditions zaidi.
Alafu nimekumbuka hivi project ya TPF ndio basi tena!??
Ila mashindano haya mara nyingi Waandaaji huwa wanazingua...Mshindi uwa hathaminiwi kabisa baada ya mashindano..Niliwahi kumsikia Hope kwenye interview akilalamika..Hata zawadi wanapewa kimagumashi tu..Vivyo hivyo Jumanne Idd nae aliwahi kulalamika kuhusu zawadiTeh kayumba oyeee. Aah afu emmy sikutegemea kama angetoka mapema hivyo. Jamani fainali ya kina Walter tulikuwa chuo sio kupiga makelele maana best friend angu alikuwa team wababa mwee
Walter yupo on and off kwenye game. Niliona kama ana wimbo mpya but nadhani haujakiki sana. Mashindano haya washiriki wanacopy na kupaste nyimbo. Wakishashinda sasa kusimama kwa miguu yao ni tatizo. Afu Sidhani kama kunakuwa na management ya kuwafatilia na kuwasimamia baada ya ushindi wao. Ni sawa tu na TPF, kina alpha sijui hope, Ruth, Davis hata siwasikii sana. Bora hata Amos na Josh na msechu wetu
Yani wao wakikupa tu zawadi nitolee. Utajijua mwenyewe uendako. Bora hata clouds yale Mashindano yao ya super nyota yameleta matunda Eg. Ruby na young killer. Wale wana management nzuri so vipaji havipoteiIla mashindano haya mara nyingi Waandaaji huwa wanazingua...Mshindi uwa hathaminiwi kabisa baada ya mashindano..Niliwahi kumsikia Hope kwenye interview akilalamika..Hata zawadi wanapewa kimagumashi tu..Vivyo hivyo Jumanne Idd nae aliwahi kulalamika kuhusu zawadi
Hiyo ni changamoto pia..Ingekuwa vyema wakishafika hatua flani washiriki wangekuwa wanajajiwa kwa uwezo wao wa kutunga pia..Walter yupo on and off kwenye game. Niliona kama ana wimbo mpya but nadhani haujakiki sana. Mashindano haya washiriki wanacopy na kupaste nyimbo. Wakishashinda sasa kusimama kwa miguu yao ni tatizo. Afu Sidhani kama kunakuwa na management ya kuwafatilia na kuwasimamia baada ya ushindi wao.
Jumanne Idd anakwambia hata mpunga uliotangazwa sio ndo aliopewa..Hope nae wa TPF aliwahi kusema hivyo...Yeah clouds wanajitahidi kulinda mazao yao..Yani wao wakikupa tu zawadi nitolee. Utajijua mwenyewe uendako. Bora hata clouds yale Mashindano yao ya super nyota yameleta matunda Eg. Ruby na young killer. Wale wana management nzuri so vipaji havipotei
Ndo alichosema??..Daaa...Uenda mzee hayuko poa
Aah auditions ndo huwa burudani zaidi. Unaweza kucheka hadi kupaliwa. Nahisi wengine wanafanyaga tu makusudi kwenda kuchekesha
TPF sijasikia chochote kipya. Nasikia tusker walizindua project nyingine inaitwa "tusker twende kazi", sikufatilia hata kujua kuna nini huko. Though uvumi upo kwamba TPF imepigwa chini
Mi uwa wananichekesha sana..Na zaidi nikifikiria kuwa mtu kasimama kwenye foleni zaidi ya masaa 10 zen anaingia ndani anafanya vituko,hapo no nachoka zaidi..Kweli town kuna watu hawana kazi aisee
Teh kayumba oyeee. Aah afu emmy sikutegemea kama angetoka mapema hivyo. Jamani fainali ya kina Walter sio kwa kupiga makelele yale, maana best friend angu alikuwa team wababa mwee
Walter yupo on and off kwenye game. Niliona kama ana wimbo mpya but nadhani haujakiki sana. Mashindano haya washiriki wanacopy na kupaste nyimbo. Wakishashinda sasa kusimama kwa miguu yao ni tatizo. Afu Sidhani kama kunakuwa na management ya kuwafatilia na kuwasimamia baada ya ushindi wao. Ni sawa tu na TPF, kina alpha sijui hope, Ruth, Davis hata siwasikii sana. Bora hata Amos na Josh na msechu wetu
Sure..Emmy pia nilikuwa namkubali...Hawa bss baada ya mashindno sidhani kama wanajishughulisha na mshindi..Ila wangekuwa wanajitolea kuwasimamie wangekuwa wanafika mbali sana...Coz Rita,Salama na Master wana connections nyingi sana kwenye soko la mziki bongo..Sema ndo hivyo baada ya mashindano nadhani wanawadamp tu...Mtu kama walter angekuwa na management nzuri angekuwa mbali sana now
Hiyo ni changamoto pia..Ingekuwa vyema wakishafika hatua flani washiriki wangekuwa wanajajiwa kwa uwezo wao wa kutunga pia..
Ila still swala la management ni changamoto kubwa..Kuna baadhi ya washindi baada ya Bss walianza fresh tu kwa kutoa nyimbo zao na zikafanya vizuri ila baada ya muda hawasikiki tena..
Naona safari hii wamejipanga kidogo..Ngoja tuone itakuwaje