Na muziki wetu ndivyo ulivyo, wenye vipaji vyao hata hawatusui ila wajanja wajanja tu ndio wanapaa, mie nimejikuta naumia maana naona kama hashindi!! Aaaaaagggggrrrrrr!
Hamna anaweza kufanikiwa kama Mad Ice.. though hajahit kama kina domo lakini kwa wanaojua vitu vizuri hawahitaji kuambiwa ubora wake na akitoa wimbo anafanya vizuri kwenye media