Miss You Too My Lovely Sister Queen POPOMA.
Salama mzuri ila basi tu.
Huyu anafanya nn ad sahv
Kama Ya Dr. Magufuli.
According to madam rekebiahen kauli
Don't betting on game like this because no one here bear witness on kujumlisha kura zao
Siasa jamani madam Rita asante[/QUOT
siza kasemaje hadi madam kamaimdi???
HAPA KAZI TU. Madam Nae Hakumkopesha Akamchana Live Kuwa Ajue Kuwa Analipwa Na BSS Na Si Vinginevyo. Namsubiri Kwa Hamu Mno Sizya Kesho Pale Tegeta Stendi Ya Kwa Ndevu Ktk Kijiwe Chetu Cha MAFUNDI Simu Kwa MATEJA Ili Nimcheke Jinsi Alivyotolewa Nishai Na The Big Boss Madam Rita.
Hahhaah wewe kweli au?halii ni kope ndugu imechomoka
Huyu kayumbaa ni vema apate mfadhili tuu! Pesa apewe fridaa mwee!! Hahaha ni mtazamo wangu tuu maana kale katoto ni kasaniii
Huyu Ndiyo Dr. Magufuli Wa BSS Kwa 2015.
Frida aliingia kwa bahati..Walitaka kumtoa..Ameamua awaonyeshe uwezo sasa..Yani kama ndo walimtia ndimu
Especially kwa MC ile ilikuwa ni kama promo etiKuna makosa wanayafanya mwishoni itakuja itakuja kuonekana kama wamekuja na majina mfukoni.
1. Fela hakutakiwa kwenda kumtunza dogo. Alitakiwa awe neutral
2. MC hakutakiwa kumwambia arudie kipart. Anatakiwa awe neutral
Kuna makosa wanayafanya mwishoni itakuja itakuja kuonekana kama wamekuja na majina mfukoni.