Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Yani huwa sina tabia ya kupiga kura but kwa kayumba ntampigia tu aisee. Fanya kutuma tu na hiyo vocha kabisa kura ziwe nyingi zaidi tehVibaya mno douta...Dogo anajitahidi..Ntakutumia vocha umpigie kura lol
Teh yani kumleta tu paulo home ndo ushaniozesha na kufuta namba zangu? Ngoja nimwambie basi akupeBasi usijali..Namba nikachukue kwa paulo ama??
Daddy the show is on. Nitabirie top 5 yakoTeh teh..Douta unachange namba deile..Sijui wanakusumbua sana
Douta huku kijijini nilipo tv stations hazikamati..Uwa nasubiri mpaka waupload utube ndo nichekiDaddy the show is on. Nitabirie top 5 yako
Daddy angel mary lazima awepo. Nahisi hapo kwa jackline kakengi atakuwepo angel mary. Hao wengine wapo exactly as I predicted. Daddy na douta tuna same tasteDouta huku kijijini nilipo tv stations hazikamati..Uwa nasubiri mpaka waupload utube ndo nicheki
Ila top 5 yangu ni
1-Kayumba Juma
2-Nassib Fonabo
3-Steve Lupenza
4-Jackline Kakengi
5-Frida Amani....Nipe yako
Teh teh..Ndo mna wala sihitaji kupima DNA kutambua kuwa we ni my douta lol!!! Ila nadhani Wataweza kutaka kumuacha mmoja kati ya Frida na Angel..Daddy angel mary lazima awepo. Nahisi hapo kwa jackline kakengi atakuwepo angel mary. Hao wengine wapo exactly as I predicted. Daddy na douta tuna same taste
No way angel na frida watakuwepo wote. I believe soTeh teh..Ndo mna wala sihitaji kupima DNA kutambua kuwa we ni my douta lol!!! Ila nadhani Wataweza kutaka kumuacha mmoja kati ya Frida na Angel..
Pouwa..Ngoja tuone..Nasubiri ripoti kutoka kwako
daaa!! steve kutoka sikutegemea..Ameharibu nn?Eeeh we Beba tu box mie nile hahahhah. Top 5 ni
1. Naseeb
2.kelvin gerson
3.kayumba
4. Jackline
5. Angel mary
Sijaamini kama Steve lupenza katoka. Afu daddy you are so smart kuhusu frida na angel mary. Wamemdrop frida wangu
Hamna daddy kaimba poa tu mbona. Kev kwa Steve hagusi hata, jack ndo kabisa na leo aliimba taarabudaaa!! steve kutoka sikutegemea..Ameharibu nn?
Hahhaa machozi ngoja niyatunze hadi mtu akiniudhiHa ha!! Lia japo kidogo basi...Tumetoka 3*3 ujue
Ooh yeah kayumba moja. Nilikuwa namuhofia sana Steve but now labda naseeb tu.Heaven Sent Kura now kwa kanumba si ndio?
Hilo mbona hata viziwi wanajua..Mana hata kama mtu hausikii ila show ya steve itakupa burudani..Kev labda kura zimemuokoa ila steve alistahiliHamna daddy kaimba poa tu mbona. Kev kwa Steve hagusi hata, jack ndo kabisa na leo aliimba taarabu