Bongo star search 2015

mwenye kumjua huyu dada naomba msaada wa mawasiliano..nimempenda gafla



Hahaha. Mi nataka tu nimjue huyo aliyemwambia "he wanna go dooooown town". Huyo jamaa atakuwa na roho ngumu sana. Anyway, ana uwezo aisee.
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni uzee umefikia mahala pake au ...hicho mnachoongelea sijui hata kama bado wanaendeleza hicho kitu
 
Najua Sure Boy Kayumba kitita ni chake,nasemea kwa hao wa Ku rap hao..kuwaweka wote wawili ni changamoto

Hiviii, kwahiyo mwaka huu kutakuwa na washindi wawili? Yaani wa kuimba na kurap?
 
Mie shabiki andazi..nampenda yule mwenye dred achana na yule aliyotolewa jana..
Simjui hata jina duu dada yule ni shida anashtua hadi na salakasi
Hahaha Angel mary huyo..Frida alirudishwa kwenye Mashindano so wamebaki top 6 now
 
Mie shabiki andazi..nampenda yule mwenye dred achana na yule aliyotolewa jana..
Simjui hata jina duu dada yule ni shida anashtua hadi na salakasi

Mmmh hii ni zidi ya andazi, bumunda kabisa, mie hao hata sijawashika maana kwenye hiyo lane simo kabisaaaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…