Bongo muvi

Bongo muvi

livvy

Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
21
Reaction score
14
Katika movies nyingi za kinigeria, utakuta nyimbo zimetungwa kutokana na theme yenyewe ya movie..kama ni binti masikini anayeteswa utakuta wimbo unamuongelea yy, kama ni wanafunzi wako vyuoni hawasomi kazi yao ni kudanga tu kutakua na wimbo unaowaongelea..etc..we should apply this more katika movies zetu pia, itapendeza zaidi.
 
Back
Top Bottom