Miaka mitatu iliyopita ukiwa mtaani unakuta mabanda ya kuonyeshea muvi za Bongo kwa kiingilio kikubwa kutegemeana na nani aliyecheza hiyo muvi. Lakini sasa hivi limebaki jina tu na mabanda yamegeuzwa vijiwe vya wavuta bange na wanywa gongo. Kunani pale Bongo muvi? Mmeishiwa au?