101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,119
Habari wakuu
Ni ubishi usiopingika kwamba tukitaka kuishinda CORONA covid19 ni kuondoa muingiliano wa watu kwenye jamii husika ili kuondoa na kuteketeza mnyororo wa maambukizi hapa nchini hususani ndani ya mkoa wa Dar es salaam
Katika harakati hizi za kavunja ile chain ya transmission ya huu ugonjwa wataalam wa afya wameshauri watu kukaa nyumbani kuacha kizurura na kujichanganya na vijiwe visivyo na ulazima
Changamoto ya hii suala la kukaa nyumbani kwa sisi watu wa vipato vya chini tuliokuwa katika nyumba za kupanga huku manzese, mbagala, buza, vingunguti, buguruni, temeke, gongo la mboto na kwingineko maana nyumba ni moja ina vyumba kama 12 hivi na mabanda ya uani kila mtu na radio yake huyu taarabu,Yule bongo flavour, Yule boringo na nje mtaani Kuna fremu ya kukodisha cd za muvi yaani kelele na kero tupu
Nyumba na ukubwa wake wote choo ni kimoja tunashare kama mmoja akiwa na maambukizi wote tumekwisha.
Sijui hali ya wapangaji Wengine kwenye maeneo yenu huko hali ya mazingira ikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app