Bongo movies...

Nilikuwa jukwaa la siasa,huko kuna bongo muvi mpya imetoka jana,'steringi' hajulikani!
 
Hahahaha..hapo ss..! Inaitwaje hiyo?
 
Hahahaha..hapo ss..! Inaitwaje hiyo?
kila m2 anaipa jina lake,nahisi itakua ni 'series' maana cjui itaisha lini!wadau wote wamekimbilia kule toka jana,huoni kmya humu?me nilijiuliza nikaamua kuwasaka,kumbe wanaifatilia kwa makini kule!
 
kila m2 anaipa jina lake,nahisi itakua ni 'series' maana cjui itaisha lini!wadau wote wamekimbilia kule toka jana,huoni kmya humu?me nilijiuliza nikaamua kuwasaka,kumbe wanaifatilia kwa makini kule!

Hebu naomba link ya hiyo kitu...(thread link)
 
Kama mlizi au house boy ndo star ujue atazimikiwa na mama mwenye nyumba au mtoto wao
 
polisi hawana sare ikitokea wamebahatisha kuzipata basi kachumbari yake utachoka,shati na suruali havifanani unajiuliza huyu ni askari wa malawi!!!

Wote manafanya biashara kwa kupitia bandari utasikia ''yale makontena yameshafika bandarini''

Hahahaa..halafu kweli!

Polisi wote wanatoka 'kituo cha kati'
 
Bosi lazima awe na suti na laptop oficin,hawajui unaweza kuwa bosi wa kuuza nazi!familia tajiri wanaongea kizungu,maskini kizaramo!...wakiigizia kijijini basi n mkuranga au bagamoyo!
 
familia za kitajiri lazima ukute kuna ulinzi mkali kwa watt wa kike na wengi wao wanasoma nje ya nchi
 
polisi hawana sare ikitokea wamebahatisha kuzipata basi kachumbari yake utachoka,shati na suruali havifanani unajiuliza huyu ni askari wa malawi!!!

mkuu wanavaa jezi za scout asee,kama lord Barden Powell angekuwepo!
 
watu waikubaliana kuanzisha mapenzi tu,wanakwenda Beach au Suppermarket!na mziki wa kidhungu!
 
stori zao ni kama hadithi ya madenge tu.
Baba;madenge nikusimulie hadithi?
Madenge;ndio baba.
Baba;hapo zamani za kale palitokea sungura na fisi
madenge;aaaah!hiyo nshaijua,mwisho wa siku sungura atamzidi ujanja fisi!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…