Bongo movies...


hilo ni bonge la tatizo.
 
Lazima wawe nusu uchi hasa Anti Ezekiel na yule aliyeolewa na mcheza mpira. Na haziwi rated ili kuchukua tahadhari hasa unapoangalia na watoto/wajukuu.

Uzungu uzungu mwingi kupita hata wazungu wenyewe.
 
1.Majeruhi na maiti zinabebwa mikono mitupu na kama mtu kafa utaona zinapepesa macho.
2.Aliepigwa risasi hua na damu kama sample ya kupimia malaria wakati mwingine inarangi ya pink.
3.Jambazi hua linavua viatu lisichafue kapeti.
4.Kwakuibia wabongo, partI jamaa anapga kibao halafu partII jamaa anaanguka tena anaangalia anapoangukia ili asiumie maana hana bima.
5.Wapenzi utasikia wameishi pamoja kwa miaka mingi lakini siku anayofukuzwa nguo zinatosha kwenye rambo au begi la mgongoni.
6.Sehemu za hospitalini huwepo wao tu hospitali nzima.
7.kawaida msosi ni chips kuku iwe nyumbani au hotel na lazima walishane.
8.wana hug kutumia shavu la kushoto kwahyo hugongana na scene haikatwi.
9.Kwenye subtitle mgeni anaitwa "new people".
10.Muvi inaanza mtoto mweusi anakipilipili lakini akikua anakua mweupe peeee.
ebu niambie na wewe yapi umejionea yanapatikana bongo muvi tuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…