Bongo Movies wenyewe hawajajua tatizo lipo na wala nyie mnaojifanya wachambuzi wala hamjui tatizo lipo wapi!!
Kama issue ni ku-support CCM; mbona Bongo Flavors wengi wakubwa wana-support CCM tena bila kificho?!
Kwa mfano wakati wa kampeni za 2015; what's so special ambacho kilifanywa na Bongo Movies ambacho hakikufanywa na Bongo Flavor?
Mara ngapi mmewahi kupiga ramli za kupotea wasanii wa Bongo Flavor wanao-support CCM lakini bado wapo pale pale?!