Bongo movie wanachotakiwa kufanya ni kuongeza ubora wa kazi zao..Hizi kampeni zao wala hazina mafanikio..Hata kama movie za nje zitafungiwa hiyo haitawafanya watu waangalie kazi zao..Sanasana ni kuongeza chuki tu
Kaliakoo= KariakooBaada ya maandamano hayo waliyoyafanya madukani kaliakoo walilazimisha maduka yote ya filamu za nje yafungwe! Hawa jamaa sijui walikywa wanafikiria nini!
Lete picha,hivi wewe unaweza kukubali kufunga biashara uliolipia leseni kwa sababu tu cd za bongo muvi haziuzwi?Baada ya maandamano hayo waliyoyafanya madukani kaliakoo walilazimisha maduka yote ya filamu za nje yafungwe! Hawa jamaa sijui walikywa wanafikiria nini!
Yaani watu wamezoea sana kufanya vitu kwa kuvunja shereia na hawataki waguswe. Hiyo zama hawajui kuwa imekwisha?!?!?!Secret Star kwanini unasema uongo? Swala hili halikuanza awamu ya Magufuli bali lilianza kitambo na wauzaji wanajua fika kuwa wanatakiwa kuwa na vibali kutoka COSOTA ili waweze kuuza movie za nje humu nchini?COSOTA na TRA wanashirikiana kuhakikisha kila wanao uza movie kutoka nje wana vibali na pia ni movie original na si fake!
Ukiingiza mzigo wa movie kutoka nje kabla ya kuanza kuuza unatakiwa kupata kibali kutoka COSOTA na mzigo wako uta hakikiwa na pia utabandikwa sticker za TRA.
Lengo ni jema tuu kwa kuwa litasaidia kuondoa movie zisizo kidhi viwango na ambazo hazina vibali na zile fake(CD)....!
Wauzaji wanacho lalamikia ni masharti ya kupata leseni ya kuuza movie za nje maana wengi wao walikuwa wanauza tuu bila vibali au kukaguliwa na wengi wao mizigo yao imekamatwa....
Pole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.
Aise siwatafungia ataa huko unako pakua .hawa ni wakukemea sio wazima .movie gani hizi za kushauri watu etii wanywe maji mengi wawe weupe !!?Pole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.
Eti Nape ni waziri,
Unategemea nini kutoka kwa zwazwa kama huyu?
Watu wana argue kama watoto humu. Hivi ingekuwa nyinyi ndio mnamiliki hizo filamu za nje mngekubali ziuzwe ki pirates waziwazi vile kama kariakoo na mitaani? Sisi wenyewe tunalaumu sana TBS,TFDA kwa bidhaa fake vipi leo tena tunalaumu TRA,COSOTA kushughulikia bidhaa feki? Watu wa Kariakoo wamezidi short cuts sana wao kila kitu wanataka kufanya wanavyotaka na si kwa mujibu wa sheria.Secret Star kwanini unasema uongo? Swala hili halikuanza awamu ya Magufuli bali lilianza kitambo na wauzaji wanajua fika kuwa wanatakiwa kuwa na vibali kutoka COSOTA ili waweze kuuza movie za nje humu nchini?COSOTA na TRA wanashirikiana kuhakikisha kila wanao uza movie kutoka nje wana vibali na pia ni movie original na si fake!
Ukiingiza mzigo wa movie kutoka nje kabla ya kuanza kuuza unatakiwa kupata kibali kutoka COSOTA na mzigo wako uta hakikiwa na pia utabandikwa sticker za TRA.
Lengo ni jema tuu kwa kuwa litasaidia kuondoa movie zisizo kidhi viwango na ambazo hazina vibali na zile fake(CD)....!
Wauzaji wanacho lalamikia ni masharti ya kupata leseni ya kuuza movie za nje maana wengi wao walikuwa wanauza tuu bila vibali au kukaguliwa na wengi wao mizigo yao imekamatwa....
maduka yale kipindi cha nyumba mbali na kuuza kazi za nje yalikuwa na leseni, kwanini TRA na COSOTA waongeze masharti kwa kazi za nje na kazi zetu ziendelee kupeta sokoni, ni bora wafunge zote tu.. ving'amuzi na tudownload tupendacho online, katika huu ulimwengu wa sasa kusema unaziba mwanya wa filamu za nje madukani wakati kuna internet ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, kuna mambo yana ugumu sana kuzuilika
Alafu mnashangaa mchina kuongoza somo la kiswahiliSecret Star
'' kaliakoo'' ni wapi huko Mkubwa.
Alafu mnashangaa mchina kuongoza somo la kiswahili