Sasa wao wenyewe Filam zao wanaandika juu kwa Kiingerezea wakati ndani ni kiswahili.
Wanategemea nini,
Halafu wauza sura kibaooo,na alivyokufa Kanumba tu basi hakuna mjanja atakaetoboa tena.
Ngono movie ni sheeeda,huwezi kujifunza kwao kama kioo cha jamii,na kwangu filam hizo hakuna hata anaetizama zaidi ya vichekesho tuu,Comedy ndio naangalia ila hizi za kujifanya wazungu,kukaaa uchi,lazima walale kitandani,lazima wapapasane.
Wakorea sasa hivi ndio wanakuja vizuri saana,na angalau maadili yao ni mazuri na unaweza kuangalia na wazazi,hapa kwetu tunajidai kwamba utandawazi,mbona wenzetu Korea na Japana wapo kwenye karne hiyo zaidi ya miaka 30 na wanafanya vizuri,ulimbukeni utatumaliza aiseee.
Mie mwenyewe sinunui na sikumbuki lini,inafika miaka 14,sijanunua,na hivi Comedy zoote zinarushwa na TV ndio kabisaaaa,Maria Clara na Inna waliwamaliza,na bado hawa wengine watawafyeka woote
Mchawi wa Bongo Movie,ni wao wenyeweeee,Maadili,maaaadiliiiiiiii,Uchuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,uchafuuuuuuuuuuuuuuuuu mtupuuuuuuuuuuuuuu