CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,925
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee.
Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena sana. Fikiria vitu kama Strawberry zinatoka South Africa hii ni aibu kubwa sana, strawberry zinastawi maeneo mengi ukitoa ukanda wa pwani tu kwa sababu ya joto kari ila cha kusikitisha strawberry zinatoka nje na ni zao rahisi sana kulima.
Nikakutana na uyoga wa Buton kutoka Nairobi Kenya, kwamba uyoga wakenya wanakuja kuuza Tanzania na sisi tumelala, kuna matunda mengi na mboga nyingi zinatoka nje Kenya au South Africa.
Na hawa jamaa wa Super Market si kwamba wanapenda kununua nje hapana ila hakuna namna mimi wakato wote nisha waji kuwafuata na unakuta wako tiyari kununua kabisa, shida wanayo sema huwa ni janja janja za Watanzania, usanii mwingi sana.
Ukitukuta kwenye Magroup ya Whatsapp na Facebook tunajadili Kilimo na ufugaji unaweza dhania tunashindana sasa na nchi kama Marekani kumbe ni political Farming tunafanya.
Niliwahi kuta vitunguu wakenya wanachukua kule karatu wanapeleka Nairobi wana sort na wana park wanarudisha Tanzania kuuza, sasa hapa tusiseme kweli tumerogwa?