Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
- Thread starter
-
- #21
Hivi n'kwanini Raisi wetu anasita kutumia madaraka yake kumaliza mgogoro wa umeme unaotukabili? Matokeo yake wananchi walalahoi wanaendelea kuteseka? Hivi n'kwanini suala hili la kitaalamu linaendelea kugubikwa na maamuzi ya kisiasa?
kwani una wapenzi wangapi kaka ???🙂mimi wapenzi wangu siwanunulii kadi ya valentine na hawaniulizi,na wananipenda ajabu,
Hey don't single him out. All the previous presidents didn't solve that problem which leads me to think the problem is bigger than the presidency
Nazungumzia tatizo lililopo sasa, nothing can be done about the past. Hivi'nkwanini hatuangalii mbele?
Nakubaliana na wewe.....MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO! Hivi'nkwanini jamani?Kama before walishindwa kulitatua tatizo hili what makes you think they can solve it now?
Nakubaliana na wewe.....MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO! Hivi'nkwanini jamani?
All this shyte is gonna come to an end mkinichagua kuwa Rais-TRUST ME NYANI, hivi n'kwanini hamtanipia kura jamani????And mark my words...the current president will leave office and the problem will still be there. Mark my words.
All this shyte is gonna come to an end mkinichagua kuwa Rais-TRUST ME NYANI, hivi n'kwanini hamtanipia kura jamani????
And mark my words...the current president will leave office and the problem will still be there. Mark my words.
Halafu tatizo siyo umeme tu. Hata maji safi na yenyewe tatizo...