Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Hii dunia inamaajabu shazi, wanao lala wamekoroma ndo wanaokula wali nazi/

It's Scars
 
Usitamani viatu vyangu ukivivaa hautembe,
Ikiwa ni siku mbaya ndio masaa hayatembei. darasa.
 
Acha waseme ni mazingaombwe ya ulimi wa mc na vidole vya mnyonga jani.
Stopper Rymes
 
Hakuna kukupigia ngoma kukuambia kuwa umekua
Miyeyusho majukumu, utakuja tukuombe dua
Utaamka tu unajua kuwa wachawi pia wanafiwa
Hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa.

Mwana FA - we endelea tu.
 
Back
Top Bottom