Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Naflow kwa kiingereza ,naflow kwa kiswahili.
Hata Jigga haniwezi,mi naflow kwa lugha mbili.

R.I.P Langa
 
Nishajitoa muhanga zaidi ya yesu msalabani/
Zaidi ya yesu msalabani/
(KalaPina)
 
Moyo unanienda mbio kama unaendeshwa na Schumacher kila nikiwaza uenda mchizi wangu anateseka.. By mwana FA.
 
Back
Top Bottom