Bongo Hip-hop finest lyrics.

Bongo Hip-hop finest lyrics.

Leta defender, leta wajeda nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la Mkapa. Roma
 
Naulenga mwezi najua ata nikikosa itatua juu ya nyota na mambo yatakua shkopa. Fid Q
 
Aseeh basi ni kama mimi..
Ngwea
Joh makini
Jay mo
Profess sijui shida nini nilikuwa siwezi kuwasikiliza. Sema sasa hivi sijui chochote kinachoendelea aseeh nashindwa kwenda na kasi ya kufuatilia washkaji
Hao jamaa mi na kumbukumbu nao sana mistar yao sana
 
unga waya kwenye spika... kisha weka nyaya kwenye rifa... mtafutie malaya senorita... mguu mdogo utakupwaya kama snicker... nafuu mgogo kuliko wahaya wanavyosifika... NIKKI wa I
Twende sawa me ndo dawa kwenye fiva/wazawa nawapaisha mpka ulaya kama viza.
 
wakishajua unawajua zaidi ya wanavokuhitaji
mapenzi ya wadau wa mjini hugeuka samaki na maji

hapo inabidi kuishi ndani yake tu maana nje utavuliwa

ngosha the don
Hii remix au mbona ni tofauti kabisa na 13
 
Hamto ishi milele sifa ya mtu kufa/
Mara Tasaf,Mkurabita sijui Mkukuta/
Yote ni mifuko ya upigaji/
Sizani ka serikali ndo imeanzisha hyo miradi/
Saa hii ni siasa za maji taka/
ndo zmepamba moto makada na vibaraka/
wote matumbo joto wanaishi kwa mashaka/
mara utasikia Mh. Daudi kabaka/

-nikki mbishi
 
Hili Genge la gangster rap kijenge/ Tunapiga tu snap tumeshawasha MWENGE/

Kunguru wa Kijenge
 
Nafanya ninavopenda na naa utaipenda/
NAICHOMA nnavopenda na naa utaipenda/
Maana is ma MOTIVATION Pale na MEDITATION/
Nauza Lifestyle juu ya yote nation/

Naiita the return of King Izzy

Daby Keyon mmeisikia hii pumbu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom