Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,165
- 123,280
Nanasi Siyo tango kulila inahitaji mpango/ Na Ukiwa una mpango wa Kando haina maana mkeo hajui mambo/
Ukitaka kumkomoa Kahaba utaipasua tu condom/ Au utamchubua kimahaba ujikomoe kisa nyagi na phantom/
Na utajuta ukisha (mmmh) aaaf Kahaba anauvuta mpunga/ Wala hajali kama mpishi anayesonga ugali wa mfungwa/