kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,114
Ama zangu ama zao walisema bila upeo/nahofia uwezo wao na sasa ndio ama zao
Hii ngoma mara ya kwanza alovyoitoa nilicheka sana hahahaha!Shemu kafeel kaka kasafiri hivi naweza kukugusa hadi sehemu za sirineema wa mitego by mbishi
Usoni sina genya ila moyoni sio mwema!!!.Hawatuwezi,man of the experience Ibra
Kila jambo linamsimu kuja na kuondoka/Ama zangu ama zao walisema bila upeo/nahofia uwezo wao na sasa ndio ama zao
Ha ha ha.. Kipindi ile ilikua hatari, ukipita maskani ukiuliza swali tu wana wanakujibu usiulize, wengine wanamalizia pigia mstariKila jambo linamsimu kuja na kuondoka/
Inamaana ukifika Juu kifuatacho kundondoka/
Ngoma yake ilipenya sana ikawa kama lugha ya mawasiliano-ukiuliza swali Jemba inakujibu pigia mstari.
Raaado!
Flow n paka na ina roho kama tisaWalinifunza nisiwe mroho wa maaharifa nibaki msiri asiyekua na dhambi kama choo cha kanisa by One
Najionea maajab ya hip hop kuwa ngum kulko somo la hesabuHip hop haihitaji wavivu wa kufikiri...
Kichwa lazima ukishughulishe na pia up ende kujifunza Mambo mbalimbali.....hakika utaipenda mno.
Ilisambaa sana!!Ha ha ha.. Kipindi ile ilikua hatari, ukipita maskani ukiuliza swali tu wana wanakujibu usiulize, wengine wanamalizia pigia mstari
Msodoki the son!Najionea maajab ya hip hop kuwa ngum kulko somo la hesabu
By msodoki