Bongo Hip-hop finest lyrics.

Bongo Hip-hop finest lyrics.

Haha.. sema alikuja kubadilisha career sijui maana alienda kusoma kitu kingine mzumbe.
Nilishakuwa na rabia yule mtoto wa kiarabu akahama kwa mzee Jumbe/

Nishakuwa na dorini Mtoto wa kichaga miss mzumbe//


Mkuu!!! Mimi nilijua bado yupo kwa Afya ingawa alipitia Mzumbe University..
 
Nilishakuwa na rabia yule mtoto wa kiarabu akahama kwa mzee Jumbe/

Nishakuwa na dorini Mtoto wa kichaga miss mzumbe//


Mkuu!!! Mimi nilijua bado yupo kwa Afya ingawa alipitia Mzumbe University..
Mzumbe alisoma hsm.. sasa sijui baadae ilikuaje maana ni siku kidogo zimepita since 2010s. Sijawahi kufuatilia mengine
 
Haha
Naamka asubuhi nacheki mfukoni waya mkali/
Ooya Dark nitoe bati nikanywe chai /

RIP MABOVUU moja kati ya watu niliokuwa nawaelewa saana saana... magwea sijawahi kumwelewa sijui jwanini
Maisha ni karata unaweza kulamba dume/
AU kulamba garasa..ukalamba mzungu wa nne/

R.I.P MABOVU!!!


Mimi mwenyewe ngwea sikuwa na nyimbo zake nyingi japo alikuwa vyema kama kwa jaymoe vile vile.
 
Maisha ni karata unaweza kulamba dume/
AU kulamba garasa..ukalamba mzungu wa nne/

R.I.P MABOVU!!!


Mimi mwenyewe ngwea sikuwa na nyimbo zake nyingi japo alikuwa vyema kama kwa jaymoe vile vile.
Aseeh basi ni kama mimi..
Ngwea
Joh makini
Jay mo
Profess sijui shida nini nilikuwa siwezi kuwasikiliza. Sema sasa hivi sijui chochote kinachoendelea aseeh nashindwa kwenda na kasi ya kufuatilia washkaji
 
Nanuna navunda mdomo story azipandi maskani kama utoro na masomo.
Chid Benz.
 
Hip hop haihitaji wavivu wa kufikiri...

Kichwa lazima ukishughulishe na pia up ende kujifunza Mambo mbalimbali.....hakika utaipenda mno.
 
Naishi biashara
Daima siogopi hasara
Na mara mara kwa mara
Hii busara huepusha madhara

Pro jay mc.heavyweight
 
Hivi vitu vipo wazi kama vazi la kahaba/
Nasambaza maradhi halafu nakupa siku saba /

Dogo mwendawazimu
Hahaha!!!
Vazi la Kahaba-utamu wote njenje.

Ila hapo mstari wa pili...Nakupa maradhi nahisi alikuwa anelezea Ukimwi-kwasababu kipindi kile cha nyuma watu Mtaani walikuwa wanadai ukinasa tu miwaya siku Saba tu mwili unakusanua.
 
ukitaka kwenda haraka nenda pekeako

ukitaka kufika mbali tembea na wenzako.
 
nina ugumu wa jiwe na upole wa mlokole

kwahio usishangae bwana asifiwe ikaambatana na dole

wakazi
Nilizaliwa na wazazi but
Street raised me /
Nilizaliwa na kipaji but..
Made me/

Wakazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom