Joh anapiga waya tu.Naona Injiri na shilingi siingilihii Kanisani wala siitilihii maanani by joh makini
Joh anapiga waya tu.
Wanafanya punch line..
Huku nikindunduliza kufanya hit songs/
Huyu Makini kashatutupa mkono.
Alikuja kusoma Health system management....nakumbuka wakat naingia first year yy ndo yupo third yearHaha.. sema alikuja kubadilisha career sijui maana alienda kusoma kitu kingine mzumbe.
Kweli mkuu ata mm stamini ckubali mistari na flow zakeStamina ngoma zake hata sizielewe kabisa!!