Bongo Hip-hop finest lyrics.

Naona Injiri na shilingi siingilihii Kanisani wala siitilihii maanani by joh makini
Joh anapiga waya tu.

Wanafanya punch line..
Huku nikindunduliza kufanya hit songs/

Huyu Makini kashatutupa mkono.
 
Sifa za Uandishi
No sifa za uandishi wapo na fid.

Manzi wee mkali eeh upo fresh
songa ndiye anaimba kiitikio.. hii ya kitambo kidogo


Sifa za uandishi hi anaanza kwa kusema
Tukii tukiii tukiacha utani
Sitokukera nadhani
 
Joh anapiga waya tu.

Wanafanya punch line..
Huku nikindunduliza kufanya hit songs/

Huyu Makini kashatutupa mkono.

Yap joh Makini zamani alikua anakaza sana sasa hivi anazingu wanzeekea offce pls stahafisha
 
We kuku unae furah kula mchele wakati ucku unaliwa na wal

young killer msodok
 
Haha.. sema alikuja kubadilisha career sijui maana alienda kusoma kitu kingine mzumbe.
Alikuja kusoma Health system management....nakumbuka wakat naingia first year yy ndo yupo third year
 
Uclazmishe yai la chupa kulipikia kiepe

Yong killer msodok
 
Pele mchawi wa Soka Mimi mchawi wa misitalii/
Hiki sio kipindi cha majibu na maswali/

Nash Mc.
 
I could be your mama settle all your drama
U dont like my house feel free nigga hama
BY Rosa Lee
 
Ilikuwa sakina baa mida ya kumi/mchizi kashapiga kama chupa kumi/ kalewa kajisahau ni most wantent/ nyokaa mchizi wa ungalimited

CHINDO
 
Usiulize mi ni yupi mi ni nuksi zaidi ya tshaka/ nabonge la mkuki kwny chupi hii ni boksa/ maisha ni menyu na mhudumu ni muda/fasta unganisha oder zenu kisha hukumu utakuja/mi ni mbishi zaidi ya nyota uzionazo mchana wa jua kali/ siishi kwa kukopa naogopa roho itantosa ngosha

FID Q
 
Utazikwa na sanda na wala sio moka mashada na suti/

Mjomba kaza buti nakuja kwa upasuaji na nusu kaputi/

Oya mamluki Rudi kinyumenyume mkononi na Chupi/


Nash Mc.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…