Mashairi hayo niliwahi kuyatuma katika group moja la whastapp (waliosomea Tanga) member walihamaki na mitusi Juu.Nitume mimi yesu kasema/
Kaja kala kichapo sijui kama atarudi tena/
By Baba malcom
Mi graduate wa darasa
Sio graduate wa maisha/
Acha tucheke
Ya kulia yapo mengi sana/
Dr. bonta
Hahaha Dr.bonta!!Mi graduate wa darasa
Sio graduate wa maisha/
Acha tucheke
Ya kulia yapo mengi sana/
Dr. bonta
Haha kidogo wanitafune...Utaitwa mpinga kristo
Kabisa--Soko la hip hop ni kujitoa kufara!!Yes....
Blind beef imewapoteza kimziki hawa jamaa. Sasa hivi wote wanapumlia mipira
Nilimusikia katika "interview" mojaJamaa si ana dip health so wakampachika jina.. na yeye pia anajiita Dr wa game
Haha.. sema alikuja kubadilisha career sijui maana alienda kusoma kitu kingine mzumbe.Nilimusikia katika "interview" moja
Anadai kipindi anaanza kazi 2008/9-Mkoani Shinyanga ya kuhudumu wagonjwa...Kuna jemba walikuwa wanajifanya wanaumwa kumbe wanataka kumuona tu. Dr.Bonta!!
Namheshimu sana!!
Hahahaha hii ndo panch chafu ya nikiNitume mimi yesu kasema/
Kaja kala kichapo sijui kama atarudi tena/
By Baba malcom
HahaUshasikia wapi mteja kadumu kwenye ofisi/
Akikoswa na raia basi anaangukiwa na polisi/
R.I.P LANGA.