Those times, when music was real,
Guys, hivi ndio kusema tumeshakula chumvi nyingi maana nakumbuka bongo fleva ya kina Sugu inaingia wazazi walikua wanasema ni mziki wa kihuni na ukateka mziki wa band mazima, na sisi tunasema mziki wa sasa hivi wanaimba uhuni hahaha kwa hiyo zama zishabadilika mnooo.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.