iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,239
- 7,815
Wale wapenzi wa old skuli za bongo zamani link ya telegram unaweza jiunga hapo chini..
Huko ulipo agiza kinywaji chochote mzee nakuja lipiaAsante umetisha kinoma
Huko ulipo agiza kinywaji chochote mzee nakuja lipia
Uzi wako umeeleza ukweli mtupu
Siku hzi hakuna mziki ni makelele+matusi tu
Miziki ya zamani itaendelea kuishi tu
Ova
Kweli kabisaKuna muda unaweza dhani labda tumeanza kuzeeka ndo mana test ya mziki inapotea kumbe hapana wasanii wa sasa ni michosho tu
Kabisa ani, binafsi kwenye mixes zangu napiga sana nyimbo za zamani kuliko mpya sijui kwanini, mpya naweza piga nyimbo 3 tu kwenye mix ya lisaa au masaa 2 nzima , Olds zina ladha bana..Kuna muda unaweza dhani labda tumeanza kuzeeka ndo mana test ya mziki inapotea kumbe hapana wasanii wa sasa ni michosho tu
Kwenye mix zako una goma la mabaga freshKabisa ani, binafsi kwenye mixes zangu napiga sana nyimbo za zamani kuliko mpya sijui kwanini, mpya naweza piga nyimbo 3 tu kwenye mix ya lisaa au masaa 2 zima , Olds zina ladha bana..
Hapana kwenye library angu nmeona zingine tu hii haipo..Kwenye mix zako una goma la mabaga fresh
La hakuna noma?
Ova
Kuna kazi nyingi sana za wasanii wengine wa zamani kuzipata kwenye mazingira ya kawaida tu kama ilivyozoeleka ni ngumu sana, hasa kwenye hizi digital platforms mpaka labda upate Tape/hard-copy yake kwa watu wakongwe zaidi au Djs wakongwe!Kwenye mix zako una goma la mabaga fresh
La hakuna noma?
Ova