BONGO FLEVA: Sababu zilizopelekea muziki wa bongo fleva kukosa mvuto tofauti na zamani

Kuna muda unaweza dhani labda tumeanza kuzeeka ndo mana test ya mziki inapotea kumbe hapana wasanii wa sasa ni michosho tu
Huko ulipo agiza kinywaji chochote mzee nakuja lipia
Uzi wako umeeleza ukweli mtupu
Siku hzi hakuna mziki ni makelele+matusi tu
Miziki ya zamani itaendelea kuishi tu

Ova
 
Kuna muda unaweza dhani labda tumeanza kuzeeka ndo mana test ya mziki inapotea kumbe hapana wasanii wa sasa ni michosho tu
Kabisa ani, binafsi kwenye mixes zangu napiga sana nyimbo za zamani kuliko mpya sijui kwanini, mpya naweza piga nyimbo 3 tu kwenye mix ya lisaa au masaa 2 nzima , Olds zina ladha bana..
 
Kabisa ani, binafsi kwenye mixes zangu napiga sana nyimbo za zamani kuliko mpya sijui kwanini, mpya naweza piga nyimbo 3 tu kwenye mix ya lisaa au masaa 2 zima , Olds zina ladha bana..
Kwenye mix zako una goma la mabaga fresh
La hakuna noma?

Ova
 
Daaaah mi kama wew
Kabisa ani, binafsi kwenye mixes zangu napiga sana nyimbo za zamani kuliko mpya sijui kwanini, mpya naweza piga nyimbo 3 tu kwenye mix ya lisaa au masaa 2 zima , Olds zina ladha bana..
 
OLD BONGO ENZI ZETU - DJ Times9 VoL 1

OLD BONGO ENZI ZETU - DJ Times9 VoL 2

Kwenye mix zako una goma la mabaga fresh
La hakuna noma?

Ova
Kuna kazi nyingi sana za wasanii wengine wa zamani kuzipata kwenye mazingira ya kawaida tu kama ilivyozoeleka ni ngumu sana, hasa kwenye hizi digital platforms mpaka labda upate Tape/hard-copy yake kwa watu wakongwe zaidi au Djs wakongwe!

Cha kusikitisha zaidi kuna hata baadhi ya wasanii hawa hawa hawana nyimbo zao zote, utunzaji wao ilkua mbovu sana! Kuna msanii mmoja wa kitambo nlimuomba nyimbo ake 1 niliitafuta sana, ajabu akadai hata na yeye hana mpaka labda aniangalizie/akaitafute kwa producer P-Funk Majani labda atakua nayo kwenye library ake bado nilishindwa kucheka..
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom