Bongo blacks at abroad: Why do they tastes differently from when there were in Bongo?


Hali ya hewa mkuu. Hata wanawake wa kizungu wakikaa sana Africa wanaporudi Ulaya huwa ni dili kwa wenzao, they taste better! Huo ni ushuhuda wa wazungu wenyewe. Sitashangaa mswahili akikaa sana Ulaya kwenye baridi kali taste akawa a bit cold!
 
..mimi sidhani kuna ukweli katika imani hiyo, sidhani kama kweli mazingira yanaweza kubadilisha "utamu" wa mwanamke. I believe that, what you felt was already built in your mind even before you met her in Europe...
...otherwise, labda tuseme tu "utamu" au "joto" la wanawake hutofautiana tu. Hata ile dhana kuwa wadada wa kizungu hawana "joto" ukeni ni maneno tu ya vijana, some are actually very sweet and good in bed.
 
Itakua maji. Unajua maji yetu matamu sana hivyo ule utamu unaingia kwenye sehemu mbali mbali mwilini....sasa ulaya wana recycle maji ya chooni ndio hayo mnakunywa ladha itatoka wapi sasa... wakati wanakunywa mikojo na vinyesi.
 
Taste zinasababishwa zaidi na vyakula...vyakula vya asili vinaleta taste nzuri zaidi...ndo maana hata kuna mikoa fulani wana taste nzuri zaidi..mikoa ya ndizi nyingi

Kaka nakupinga kwa hilo...mbona pwani hamna ndizi lakini ladha zao zimepita kikomo.
 
Lazima uwe na ladha tofauti kama ulivyo weye Kwa mtu mwenye akili ngumu kukuelewa Kwa kile unacho jaribu kukielezea
kwani unachanganya Kwa ulimbukeni ulio nao ili uonekane ulikuwa nje ama unajua Ki English
Kwa mada ulio ileta inaonyesha jinsi gani ulivyo restless
 
Kwamba wanaume wa bongo mabwege na wamezidiwa na "taste" hata wakifumania wamo tu????!!!!

Hebu fafanua hapa!!!
 
+Kuku wa kienyeji watamu sana, wanakula funza,nyungunyungu, washawasha,makombo, matope ya chooni, majongoo, wanashinda jalalani nk nk... kuku wa kidhungu hawana ladha, wapo ndani wanefungiwa, wanakula mashudu, dagaa, pumba, damu, chumvi, mavitamalt, korosho, soya nk nk...
+very similar to this script.
 
Heeeeee

Makubwa....

Basi sihami africa!!!


Ingawa utamu wa pipi mate yako... sasa inawezekana na "mate" yako yame-change taste?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…