man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Habari zenu wana forum natumaini mpo sawa na mnaendelea vizuri katika shughuri zenu za kila siku.
Miaka 10 iliopita nilimtokea dada mmoja nikiwa bado janki tukashindwa kuelewana nikachora zangu nikibaki kujilaumu nimemkosa mtoto mbichi.
Juzi kati natoka katika harakati zangu nikakutana na huyu binti ila kwa sasa amekua mtu mzima kama miaka 29 hivi baada ya kubadilishana number story kadhaa akaonyesha moyo wa kunipenda.
SWALI:Kweli hii sio dharau kweli?