msaada tafadhari

msaada tafadhari

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
nimetokea kuwa na urafiki n kijana wa secondary hapa mtaani kwetu kutokana na dogo kupenda kuwa na mimi kwa kudai kazi ninayo fanya anaipenda na hapo mbeleni angependa kuwa kama mimi kiukweli nampenda sana huyu dogo sababu ananidhamu nzuri kwa ujumla nilimpa zawadi y laptop nikampa pia pikipik yangu kama zawadi pesa ya matumiz nampa pia kama mdogo wangu...JUZI NIMEPOKEA SMS YA MAMA YAKE N HUYU DOGO HAKITAKA TUWE WAPENZI sasa kweli jamani ntawezaje kutoka n mama kama huyu inamaana hajamwona mtu mwingine zaidi yangu mbona wapo wengi tuu..jamaa yake akijua si itakua aibu itaonekana natumia mgongo wa dogo kumpata mama yake wakati sio kabisa....

NAOMBENI USHAURI WAKUU NIEPUKE VIPI ILI SUALA AU NIVUNJE URAFIKI NA HAKA KADOGO??????
 
amna kuvunja urafiki na dogo zaidi wewe mpe makavu mwambie humtaki kwani neno HAPANA limeenda wapi kwenye kamusi yako ya kichwa... mwambie HAPANA that all...
 
tatizo unameonekana una pesa au hujui kwenye pesa watoto hutulia tulii
 
huu ujasiri ntatoa wapi yan nimekuwa mjinga basi kwa huyu mama nashindwa mtazama usoni kwa aibu...
 
Kula mzigo tu, sometimes usiulizeulize watu wa humu, watakutisha mpaka utahama mtaa. Watu humu wanajifanya wasafi kuliko yesu, lakini ukweli wanaujua wenyewe. Sikiliza ushauri kutoka kwangu, we mpelekee moto tu huyo mama, mambo ya umri usijali kwani we unataka kuoa?
 
Umempa nini na nini...!?
Unaweza nawewe ukawa mtanzania wa kwanza kufanya hayo.
 
Kula mzigo tu, sometimes usiulizeulize watu wa humu, watakuisha mpaka utahama mtaa. Watu humu wanajifanya wasafi kuliko yesu, lakini ukweli wanaujua wenyewe. Sikiliza ushauri kutoka kwangu, we mpelekee moto tu huyo mama, mambo ya umri usijali kwani we unataka kuoa?

ha ha ha hah a kumbe wachafu kuliko shetani... ha ha ha so productive jamaa ndicho anachotakalakini anataka approval....... uskubbali HAPANA mchepuko ni nouma
 
Mpaka anaomba ushauri humu, ujeu anatamani lakini moyo unadunda na watu wa humu hawawezi kumsapoti. Mwacheni kijana wa watu ajitoe bikra na jimama jamani.
 
Hahahah Mama anataka akuonyeshe what her mumy gv her teh teh butua tu wanasema mtoto alilia wembe mpe panga hahahaha na isio wembe
 
Sasa wewe Mpaka maisha hayo hujaoa tu.
Unamuonea Aibu mwanamke?Mwambie siwezi,
Halafu kama hadithi yakutunga,we umeona wapi mtu akakustukiza mesej ya mapenzi bila kuanzia mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom