Bonge la Bwana

Bonge la Bwana

......au we ndo uonekane bwana ....walikuja waganga sijui jina jumbe...watu tunaomba dua muachane.....
 
Unazani kidude kinahitaji minyama kunyanyuka? Unaeza kuja huyu naye ni Mwajuma tu.

Hata bastola ni aina ya bunduki na inaua kama AK 47; ni ujuzi tuu wa mtumiaji ndio uletao tofauti katika madhara...........
 
303364_10152689718755191_2094441974_n.jpg

Babu weeee tengeneza sick pack utazidi kua handsome lol
 
Aangalie msuli usianguke mana itakua khabari nyingine tena
 
mabavu nene lakini unakuta kwa mke wake mdogo kama piritoni
 
ahahhaaha sipati picha unasoma sms ya john inaenda kwa juma imeanza na dear,af inamaliziwa na sawa enh lovie!
ahahahhahahha Kongosho bana !umenipa la kufikiria ujue!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom