kuna thread humu inaonyesha kuwa chuo hiki kilitakiwa kufungwa mpaka kifikie kiwango...haya nayo ni majungu??
amini nakwambia hilo la juzi ni dogo lakini yawezekana kuna mengi mabaya pale sasa kama tutaweka masikio nta basi likitokea jingine tusiamshane na kelele za picha katika watsapp
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?Mkuu thnk big b4 posting any thread,,,wanaosoma imtu hawahusian kabisa na kitu kilichotokea,,,kwa hiyo ulitegemea wanaosoma ndo waka deposit yale mabaki wanaojifunzia,???halafu unajiita great thinker....soma popote pale bhana bt all in all life kichwa chako tu na ukiingia mtaani ndo uta realize kitu nnachokisema,,,kosa la issue ya imtu si la wanafunzi wanaosoma,,,...
Mpaka kufikia hivi majuzi hakuna mwanajamii aliyefahamu kwa undani kiasi kile kwamba wanafunzi wa udaktari wanajifunza anatomy kwa mtindo ule...huu 'usiri' 'utu' 'unyenyekevu' na 'usomi' ndio uliofanya mambo haya yasitokee muhimbili na yakatokea hapo IMTU na tena mwanafunzi wa IMTU kujimwaga kwenye social media akikiri kuwa miili hiyo imetoka IMTU!Ha ha nilijua utaangukia pua kwa mtego huo wewe umesoma Muhimbili kwa tabia zako za kizee kama waliokufundisha kipindi cha zama zile,wale wasiopenda kubadilika sasa huna namna ya kuyazuia mabadiliko u so special wenu ndio mwisho wake vyuo vinaota kama uyoga na vitaongezeka tu namadaktari watakuwa wengi,mambo ya kunyanyasa watu kwa kachuo kamoja kama zama zile hiyo haipo subiri tukuajili kwenye vyuo vyetu time will tell.
Wewe unaweza kuongelea elimu kinaga ubaga kwa hizi generalization zako ambazo hazina premises wala evidence???!!!!
Conservative pia wana paradigm wanazotumia kukataa mabadiliko lakini wewe tangu umeanza kuandika hapa huna mental window unayosimamia zaid ya fikra binafsi na mihemko???!!!!
Unaongelea waste disposal/ incineration ya IMTU lakini una compare na chuo kingine nikadhani nao wana tatizo hilo kumbe issue tofauti ukavumiliwa na sasa unataka kuota pembe ati "elimu kinaga ubaga" malizia fani yako kwanza then uanze cross cutting matters!!!!!
alafu jua linazama anatamani angesoma MD ila ndio hivo.
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?
kwa kweli the opposite is true. watu wasiostaarabika na wanaotaka kuishi kijima ndio huamini kutokuwepo kwwa classes kati ya watu na watu. huwezi fananisha udaktari na sociology au MUHAS na UDOM. ni ukweli mchungu ila watu wastaarabu hhhuukubali."Noble professions" ni mbwembwe za enzi za ujima kabisa "stigamatized and uncivilized barbarians" ndio wanatumia hii lugha!!!!
Yaani we na degree yako moja ujinasibu mbele za watu kuliko professor wa lugha, au CPA holder???!!!
Angalia upya mtazamo wako wa maisha!!!
Kijana acha papara,soma uelewe point,Nimemaanisha Udom wanaajiri watu ambao sio competent kuwa waalimu.Mtu hawezi tu kutoka na first degree alafu ukamkabidhi course outline tayari kawa mwalimu afundishe wangine.Wanavyofanya wengine ni kwamba anakua tutorial assistant,then anafanya masters,baada ya hapo anakua assistant lecturer,then PHD to full lecture.Unapokuwa umeeandika paper nyingi kwenye taaluma yako hata maarifa yanaongezeka kijana wangu.
Unamjua daktari aliyefanya upasuaji huo alisoma wapi au unaropoka tu?
Hahahahaha umeona eee.wivu umemganda.arudi shule MD wanaongezeka aache wivu
mambo ya kusema vyuo vyote ni sawa ni kujidanganya MUHAS haiko sawa na UDOM kama ambavyo muhaas haipo sawa na medical school ya harvard.Mpaka kufikia hivi majuzi hakuna mwanajamii aliyefahamu kwa undani kiasi kile kwamba wanafunzi wa udaktari wanajifunza anatomy kwa mtindo ule...huu 'usiri' 'utu' 'unyenyekevu' na 'usomi' ndio uliofanya mambo haya yasitokee muhimbili na yakatokea hapo IMTU na tena mwanafunzi wa IMTU kujimwaga kwenye social media akikiri kuwa miili hiyo imetoka IMTU!
Huu umimi wa muhimbili ndio tunaoutofautisha na ukanjanja wa IMTU na tusipochukua hatua yatatokea UDOM pia.
Ni la kiutawala linalohitaji maamuzi ya kielimu.aisee kweli akili wanazo wengi, wanaofikiri ni wachache, Mkuu hivi suala la wapi yakatupwe masalia ni la KIELIMU au KIUTAWALA! Nimeandika kwa herufi kubwa ili unielewe zaidi! Naomba jibu Chief wangu!
Anaropoka tu kutoka maneno ya mitaani. Nawajua walimu wanaofundisha UDOM clinical now, wengine waliwahi kuwa Tanzania one wamesoma Muhas ya enzi zile na waliondoka kwa heshima ya marks zao despite mikwara ya shule enzi hizo, wamefanya wonders kwenye maters zao na bado naweza waita walimu bora.
UDOM wanafundishwa basic science na maprof wazamani kutoka vyuo vya zamani. Kuna wakati nilitamani kuhamia huko maana wako wachache, wanajaliwa na wanafundishwa kwa ukaribu zaidi.
Hizi sifa za kulazimisha ni wale waliodhani kuwa daktari ni kitu cha tofauti sana kuliko waliochagua taaluma nyingine na baada ya kukuta ndivyo sivyo wanabaki wakihaha daktari daktari.
Kuna classmate tulimaliza nao form six PCB walikuwa the best hata sisi tulikuwa tunawakubali, chuo wakachagua kusomea taaluma zingine na hata leo sina jeuri ya kujishaua mbele yao.
pole sana mkuu kama ulisoma hapo IMTU,lakini hii haiondoi ukeli wa kwamba IMTU ni chuo cha kata.
Na mimi nitakwambia kuna medical attendant ana uwezo mkubwa sana wa kufanya ORIF lakini hiyo haijatosha kumuita daktari...huu msemo wa kwamba huku kwenye field tuko vizuri ni nonosense.kama wewe ni mkweli utaweza kugundua hata yale mabaki yanaonyesha cadaver wale hawakupasuliwa kwa kiwango cha kitaalamu!!
Sidhani!!!!!! Na sio kweli!!!!kwa kweli the opposite is true. watu wasiostaarabika na wanaotaka kuishi kijima ndio huamini kutokuwepo kwwa classes kati ya watu na watu. huwezi fananisha udaktari na sociology au MUHAS na UDOM. ni ukweli mchungu ila watu wastaarabu hhhuukubali.
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!mambo ya kusema vyuo vyote ni sawa ni kujidanganya MUHAS haiko sawa na UDOM kama ambavyo muhaas haipo sawa na medical school ya harvard.
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!