Editors are ment for that, internationally!!!!!
Na.kama alimaanisha "I/ he had two applications to submit for certain purposes???!!!!" kwa nini tukuamini wewe with your mere words???!
Wengine positivist humu kama huna experiment, test, what you are "expalining" is not observable why tukuamini haya uyasemayo???!!!
Nawe unadai ni msomi????!!!
pitia prospectus za vyuo husika utapata jibu.meningitis, kwani vigezo vya kuingia chuo anapanga nani??!!
Eti kufeli ni accelerator ya kufanya vizuri!
Kufeli ni kufeli tu hata ukibadilisha jina!
Kwa hiyo mmewaambia walimu wafelishe ili baadae watu wafaulu?
Yaani umefeli shule ya msingi,sekondari halafu leo umeibuka na PHD!
Hii iko Tanzania tu na ndio maana tunajionea vimbwanga!
UDOM na IMTU limekuwa kimbilio la wale walioshindwa na kuingia makazini kwa kada za clinical officers,AMO,n.k
ilitakiwa kuwe na program tofauti ya kuwaendeleza watu hawa na sio kuwapa elimu nzito ya udaktari kisa wanataka kupandishwa vyeo!
Hapa ni sawa na issue ya kila kijana kutaka kuimba bongo fleva hata kama ni bubu!
Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?hivi hakuna IMTU wanaofanya kazi MNH na MOi ?he walipataje ajira?utabaki na umbumbu mbu wako watu wanapiga kazi, unajifanya una akiiili wakati hata kuweka cannula hujui, kilaza mkubwa.
Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?
Nenda kwenye zahanati ukawaone medical assistants wanavyojua kuweka cannula!
"The issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut'' sasa we mburula ukishajua kufanya C/S basi wajiona daktariii !!
Daktari mwenzangu umenielewa kweli?Utakuwa unamjua na professa Gesas wa UDOM ambaye alikuwa ni mwalimu wa anatomy Muchs!
Nilikuwa sijaisoma hii comment yako.Kilaza ni wewe unayehisi kuweka cannula ndio udaktari!ndivyo IMTU inavyowafundisha eh?
Nenda kwenye zahanati ukawaone medical assistants wanavyojua kuweka cannula!
"The issue is not how to cut but when not cut,why not to cut and who not cut'' sasa we mburula ukishajua kufanya C/S basi wajiona daktariii !!
There you are!Nilikuwa sijaisoma hii comment yako.
Now you are off track!!!!!!!
Problem yako ni kuwa unataka kuiweka medicine kama creation.
Unataka kuiweka medicine kama very very noble job ambayo wanaojifunza ni lazima wawe chaguo la very very special group,you are wrong!!!!!
How many specialists wanafanya kazi katika hospitali za mikoa,hospitali za wilaya?
Specialist mmoja ana attend cases ngapi kwa siku na katika stage gani?
Ni nina aliyezuia wagonjwa wengi kwa kupona au kuzuia ugonjwa wa watu hawa kutokuendelea hadi kuwafikia hao specialist wako.
Ikiwa ceasarian section imefanywa na ikafanikiwa na kuokoa maisha ya mama na mtoto,what do you need more!
Daktari kama AMO hawakujipachika bali ni sheria,once sheria ikibadilishwa hawatakuwepo ila kama wanakukera unaweza ku lobby through your member of parliament na sheria ikawa ammended,huna haja ya kuwa under size,disregard kwa status ambayo hawakujipa.
Wachukie madaktari kama kina Vulata na Maji Marefu.
Retreat and think,somewhere unahitaji kubadili msimamo.
Mbona hamuongelei chuo chakavu UDSM, hiki chuo ni jana kwa taifa yani ndio kimetoa mafisadi kwa 99%, wasaliti wote kama Zitto wamepikwa UDSM, vibaraka na vijana wachumia tumbo kama Shonza wote wamepikwa UDSM! Janga janga janga.
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...
ukweli utabakia kuwa ukweli elimu yetu inaporomoka siku hadi siku majuzi nilikuwa kwenye kikao msomi mwenye
masters akasema "I have two application" akimaanisha "two request" sasa kama huyu ni mwalimu tutarajie wahitimu wa aina gani toka kwake?